
Makamu wa Pili wa Rais wa zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akionyesha vitabu alivyozindua

Dr. Maalim Siasa (left) na Prof. Chris Maina (right)
wakiwakilisha Maudhui

wafanyakazi wa ZLSC katika picha ya pamoja na Balozi Seif
ali Iddi (Makamu wa Pili Wa Rais)

Badhi ya wananchi walioudhuria kuahjimisha siku ya adhabu ya
kifo na uzinduzi wa vitabu vya sheria ZNZ

Wananchi wakichangia mjadala wa siku ya adhabu ya kifo
|